Michael Ngwale | Sitaacha Kuimba

Michael Ngwale Sitaacha Kuimba, Nyimbo za Dini, Sifazone

Song: Sitaacha Kuimba
Artist: Michael Ngwale
Location: Tanzania
Instagram: Michael Ngwale
Youtube: Michael Ngwale

Habari Ndugu Zangu
Naitwa Michael Ngwale,
Kwa unyenyekevu mkubwa nikukaribishe kuusikiliza wimbo huu wa SHUKRANI uitwao SITAACHA KUIMBA ukiwa ni ukifi wa shukrani na kiapo changu kwa Mungu wetu

Zaburi 69:30-
“Nitalisifu jina la Mungu kwa WIMBO”.....:nami nitamtukuza kwa SHUKRANI”

Tafadhali Subscribe,comment,like na kushare Tumia link hii ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡kuufikia wimbo huu YOUTUBE channel yangu(Michael Ngwale) AHSANTE......barikiwa